nataka tu kuanza kusema katika swahili. :)
Mambo! Ninatoka jimbo la Colorado katika nchi ya Marekani. Ninajifunza Kiswahili kwa miaka tatu. Na wewe je?
Ala! Ninatoka Alaska mimi lakini katika Wyoming sasa kwa chuo. Ninajifunza Kiswahili kwa kuhusu miaka. nakwenda Tanzania katika Mei!
Mamabo kaka. Je, utafanya nini Tanzania?
kutembelea marafiki na kuchukua dawa kwa watu na kushiriki kuhusu yesu. (pia, mimi ni msichana)