1. Forum
  2. >
  3. Topic: Swahili
  4. >
  5. "Believe it or not"

"Believe it or not"

Translation:Amini usiamini

April 5, 2017

1 Comment


https://www.duolingo.com/profile/DiegoJaviUnlam

More sentences with "amini usiamini" in the link below:

1. Amini usiamini, kuna “tumbili” katika jamii ya kangaruu—kangaruu wa mtini.

Well, believe it or not, kangaroos do have a “monkey” in the family—the tree kangaroo.

2. Amini usiamini, kuwa na afya nzuri ndiyo siri kuu ya kutimiza kila moja ya malengo hayo.

Believe it or not, good health is a vital key to reaching each one of those goals.

3. Siku moja, mke wa mwajiri wake alimjia akisema, “Amini usiamini!

One day, her employer lady came to her, saying: “Surprise!

4. Amini usiamini, kazi za mikono zinaweza kukunufaisha sana.

Whether you realize it or not, physical work can benefit you in many ways.

From Glosbe: https://glosbe.com/sw/en/amini

Learn Swahili in just 5 minutes a day. For free.