https://www.duolingo.com/profile/DaphneTheSnail

Who Wants To Practice Swahili With Me?

Up for a small conversation in Kiswahili? I'm almost halfway through the course so I don't know too much, but just small talk in the comments would be great!!

Also, for some reason my Google Translate isn't working so if I don't know a word, it might take a while to find the meaning.

I love Swahili and need to practice.

This will be going on for days or however long until I discontinue it!

Asante sana na tafadhali kuzungumza na mimi!

April 26, 2017

49 Comments

https://www.duolingo.com/profile/Catty_101

I would love to! I've only just started today, but I am on Lvl 2! Maybe you can help me?

April 26, 2017

https://www.duolingo.com/profile/DaphneTheSnail

Ndiyo! (It's not on the course but it means yes)

April 26, 2017

https://www.duolingo.com/profile/DaphneTheSnail

Habari za leo?

April 26, 2017

https://www.duolingo.com/profile/Catty_101

Nzuri, asante!

April 26, 2017

https://www.duolingo.com/profile/DaphneTheSnail

Unapenda mchezo gani?

April 26, 2017

https://www.duolingo.com/profile/Catty_101

Soka, kuogelea, raga, mpira wa pete na michezo uliokithiri kama mwamba kupanda!

April 26, 2017

https://www.duolingo.com/profile/DaphneTheSnail

Ninapenda na nacheza badminton

April 26, 2017

https://www.duolingo.com/profile/Catty_101

Muda gani umekuwa kujifunza Kiswahili?

April 26, 2017

https://www.duolingo.com/profile/DaphneTheSnail

Mwezi moja

April 26, 2017

https://www.duolingo.com/profile/Catty_101

Baridi!

April 26, 2017

https://www.duolingo.com/profile/DaphneTheSnail

Ninacheka. Baridi??

April 26, 2017

https://www.duolingo.com/profile/DaphneTheSnail

Kwa nini Baridi?

April 26, 2017

https://www.duolingo.com/profile/Catty_101

Ndiyo! Baridi sana!!! Cool picha kwa njia!

April 26, 2017

https://www.duolingo.com/profile/Catty_101

Ni Autumn hapa katika New Zealand!

April 26, 2017

https://www.duolingo.com/profile/DaphneTheSnail

New Zealand ni poa sana!

April 26, 2017

https://www.duolingo.com/profile/Catty_101

Asante! Sijawahi Amerika, lakini Ningependa hivyo siwezi kwenda baridi mbuga mandhari!

April 26, 2017

https://www.duolingo.com/profile/Catty_101

Je, kujifunza lugha nyingine yoyote?

April 26, 2017

https://www.duolingo.com/profile/DaphneTheSnail

Hapana. Ninapenda Kiswahili.

April 26, 2017

https://www.duolingo.com/profile/Catty_101

Mimi Kijerumani, Ireland, Hispania, Italia na Ufaransa, lakini si kwa wakati mmoja! Hiyo itakuwa utata!

April 26, 2017

https://www.duolingo.com/profile/Catty_101

Moja. Sasa tu kufanya Kiswahili wakati wote! Nitafanya kozi nyingine wakati mimi kumaliza Swahili mti!

April 26, 2017

https://www.duolingo.com/profile/DaphneTheSnail

Ndiyo!

April 26, 2017

https://www.duolingo.com/profile/Catty_101

Mimi nilikuwa chakula cha mchana!

April 26, 2017

https://www.duolingo.com/profile/DaphneTheSnail

Ni saa 9:17 hapa USA

April 26, 2017

https://www.duolingo.com/profile/DaphneTheSnail

*PM

April 26, 2017

https://www.duolingo.com/profile/Catty_101

Ni 1:34 hapa katika NZ

April 26, 2017

https://www.duolingo.com/profile/PolyglotPearl

I'll try using the few words I've learnt ... wewe hujambo?

May 16, 2017

https://www.duolingo.com/profile/DaphneTheSnail

Sijambo! Na wewe?

May 16, 2017

https://www.duolingo.com/profile/PolyglotPearl

Sijambo : )

May 16, 2017

https://www.duolingo.com/profile/DaphneTheSnail

Unafanya nini?

May 16, 2017

https://www.duolingo.com/profile/PolyglotPearl

[I had to use google translate : )] Kufanya Duolingo na kuwagusa paka wangu.

May 16, 2017

https://www.duolingo.com/profile/DaphneTheSnail

Bahati! Ninataka paka. Lakini mama wangu ana ugonjwa toka paka

May 16, 2017

https://www.duolingo.com/profile/PolyglotPearl

aw ... hiyo ni mbaya sana

May 16, 2017

https://www.duolingo.com/profile/AGreatUserName

Habari za konokono?

April 30, 2017

https://www.duolingo.com/profile/DaphneTheSnail

Konokono ni nzuri

April 30, 2017

https://www.duolingo.com/profile/AGreatUserName

Poa! Unakaa wapi na kwa nini unajifunza Kiswahili?

May 1, 2017

https://www.duolingo.com/profile/DaphneTheSnail

Ninataka kwenda Tanzania kusaidia watoto

ninatoka wapi? (kwanza swali)

May 1, 2017

https://www.duolingo.com/profile/AGreatUserName

Ndiyo, nilitaka kujua ama unaishi wapi sasa ama unatoka wapi. Mimi ninatoka Australia, lakini sasa ninakaa Ujerumani.

May 1, 2017

https://www.duolingo.com/profile/DaphneTheSnail

Poa!! Ninatoka Marekani ndani North Carolina. Habari za Ujerumani?

May 1, 2017

https://www.duolingo.com/profile/AGreatUserName

Nzuri! Kukaa hapa ni kuzuri!

May 4, 2017

https://www.duolingo.com/profile/AGreatUserName

Mtu wa konokono, unafanya kazi gani?

May 4, 2017

https://www.duolingo.com/profile/DaphneTheSnail

Sijui unasema... Kazi langu nini?

May 5, 2017

https://www.duolingo.com/profile/AGreatUserName

Ndiyo! Kazi yako nini? Una kazi?

May 5, 2017

https://www.duolingo.com/profile/DaphneTheSnail

Hapana. Mimi ni mwanafunzi. Na wewe?

May 5, 2017

https://www.duolingo.com/profile/AGreatUserName

Ah, poa! Shuleni au katika chuo kikuu? Unasoma nini?

Mimi ni msaidizi wa mawasiliano (Kommunikationsassistent) kwa mwanamume kiziwi. Kwa kawaida wasaidizi wa mawasiliano wanafasiri kwa lugha ya ishara na kupiga simu na kadhalika, lakini bosi yangu ni mkuu wa tovuti kwa viziwi na mimi huandika makala za habari ambazo zikapakiwa kwenye tovuti.

May 6, 2017

https://www.duolingo.com/profile/DaphneTheSnail

Kwamba ni poa sana kazi! Mimi si katika chuo, nilizaliwa mwaka elfu mbili na nne hivyo... Likini ninataka kusoma International Studies. Sijui kusema kwamba ndani Kiswahili.

May 6, 2017

https://www.duolingo.com/profile/AGreatUserName

Nilipokuwa na umri kama wako, sikujua nilitaka kufanya nini. Ni nzuri kwamba una wazo.

International studies ni masomo ya kimataifa :-)

"That" ni neno gumu kufasiri. Kwamba ni "that + STATEMENT" tu.

When "that" refers to a person, a thing or an idea, it's CLASS PREFIX + -le.

Kwa mifano:

Ninajua kwamba kile ni kitabu kizuri.
= I know that that is a good book.

Ninafikiri kwamba ile ni kazi nzuri/poa (sana).
= I think that that is a (very) good/cool job.

Duma yule anajua kwamba swala huyu atakimbia.
= That cheetah knows that this gazelle will run.

Sijui namna/jinsi ya kusema ile (au hiyo/hii) kwa Kiswahili.
= I don't know how to say [literally "the way of saying"] that (or that/this) in Swahili.

May 6, 2017

https://www.duolingo.com/profile/AGreatUserName

Habari za ulimwengu?

May 29, 2017

https://www.duolingo.com/profile/_ro_ha

Hujambo!

Jina langu ni Roha. Jina lako ni nani? Je, kwa nini unapenda kujifunza kiswahili? Ulikwenda Tanzania hapo awali?

Nakutakia siku njema!

June 22, 2017
Learn Swahili in just 5 minutes a day. For free.