Habari ya subuhi.? Jina langu ni Patrick kato.
any one online?
No streak, no longer online? Why did you post this?
Karibu. Jina langu ni Rudolf. Ni Mholanzi, mhandisi. Ninapenda kusoma Kiswahili.
Hujambo? Nimefurahi unajifunza Kiswahili. Kuna mbaya ndani Kiswahili yako. "Habari ya subuhi" inahitaji kuwa "Habari ya asubuhi" Leo njema!