- Forum >
- Topic: Swahili >
- "If you were to go, you would…
"If you were to go, you would see him"
Translation:Ungekwenda ungemwona
June 18, 2017
3 Comments
Hapana. Majibu mawili yote ni sahihi.
Hapa mbili zote ni sahihi:
ninakwenda = ninaenda
nilikwenda = nilienda
nitakwenda = nitaenda
nimekwenda = nimeenda
ningekwenda = ningeenda
Na hapa ni sahihi isipokuwa na "kw-" tu:
siendi (hakuna "sikwendi")
nikienda (hakuna "sikikwenda")
na kadhalika ...
Ikiwa neno "kula" lina "ku", neno kwenda litaweza kuwa na "kw-", lakini si lazima.
Mara nyingi watu wazuri ambao walifanya masomo haya walijipinga au huenda walisahau majibu ambalo walikuwa wameshatumia katika masomo mengine. Ukiona jibu hili tena, andika "ungeenda" na fanya ripoti.
(Let me know if you want me to translate this into English.)