"Mtoto wangu ni mwembamba"
Translation:My child is slim
July 1, 2017
12 CommentsThis discussion is locked.
This discussion is locked.
oderalon
1674
Further practice:
- Mtoto wangu ni mwembamba. - My child is slim.
- Watoto wangu ni wembamba. - My children are slim.
- Mtoto wako ni mwembamba. - Your child is slim.
- Watoto wako ni wembamba. - Your children are slim.
- Mtoto wake ni mwembamba. - His/Her child is slim.
- Watoto wake ni wembamba. - His/Her children are slim.
- Mtoto wetu ni mwembamba. - Our child is slim.
- Watoto wetu ni wembamba. - Our children are slim.
- Mtoto wenu ni mwembamba. - Your child is slim.
- Watoto wenu ni wembamba. - Your children are slim.
- Mtoto wao ni mwembamba. - Their child is slim.
- Watoto wao ni wembamba. - Their children are slim.