"Year two thousand and sixteen"

Translation:Mwaka elfu mbili na kumi na sita

August 22, 2017

4 Comments
This discussion is locked.


https://www.duolingo.com/profile/BwanaSimba

I believe the first word "na" shouldn't be there, it should be "Mwaka elfu mbili kumi na sita". The rule is as follows: When giving a number consisting of hundreds, tens and units, the word "na" is only used once, and will occur between the last two words, e.g. mia tatu, arobaini na tano (345), but mia sita na thelathini (630, no units); When using a number containing thousands, the word "na" is never used between thousands and hundreds, even though no tens or units may follow, but it will precede tens or units, e.g. elfu moja, mia tatu na ishirini (1,320), elfu nne na hamsini (4,050), elfu sita, sitini na tano (6,065).


https://www.duolingo.com/profile/alberto967501

Kitu sielewi mbona wanatumia jibu moja ilhali kuna jibu lingine? mwaka elfu mbili kumi na sita/mwaka wa elfu kumi na sita" yote ni sambamba. Labda kiswahili chetu kinatafauti fulani lakini sisi twatumia majibu yote.


https://www.duolingo.com/profile/alberto967501

kitu kingine ningepeda msahihishe ni kuwa, hakuna "na" katikati ya "elfu mbili + kumi na sita" jibu sahihi yafaa kuwa "mwaka wa elfu mbili kumi na sita" au mwaka elfu mbili kumi na sita" asanteni.

Learn Swahili in just 5 minutes a day. For free.