1. Forum
  2. >
  3. Topic: Swahili
  4. >
  5. "Utakuwa peke yako"

"Utakuwa peke yako"

Translation:You will be alone

September 1, 2017

5 Comments


https://www.duolingo.com/profile/vtopphol

Well, that sounds cheerful.


https://www.duolingo.com/profile/AGreatUserName

Sisi sote tutakufa na kusahauliwa!


https://www.duolingo.com/profile/Gazelle1596

Labda unaweza kuandika "Sisi sote tutafariki na kusahauliwa." kwa sababu kwa kawaida "kufa" kutumika kwa wanyama au maoni, si watu.


https://www.duolingo.com/profile/AGreatUserName

Kwa kweli unaweza kutumia neno la kufa unapozungumzia vifo vya watu. Sio tu kwa kutaja vifo vya wanyama au mimea. Labda watu wachache wanahisi ya kwamba neno hilo halina heshima, lakini sentensi yangu nzima haikuwa na heshima, kwa makusudi. Ni ukweli tu.

Learn Swahili in just 5 minutes a day. For free.