https://www.duolingo.com/TsitsiMaba1

Swahili

Jambo!! Jina langu ni Tsitsi. Ninasoma Swahili katika shule yangu. Nina umri wamika kumi na nane.

September 9, 2017

14 Comments


https://www.duolingo.com/DaphneTheSnail

Jambo Tsitsi!

September 9, 2017

https://www.duolingo.com/TsitsiMaba1

Jambo!

September 10, 2017

https://www.duolingo.com/Joana_AA

Na hivyo? =DD

September 10, 2017

https://www.duolingo.com/TsitsiMaba1

Ndio ndio Jojo

September 10, 2017

https://www.duolingo.com/RudolfJan

Karibu Tsitsi! Hujambo? Jina langu ni Rudolf. Ninasoma Kiswahili kwa Duolingo na Memrise. Ninaomba kusafiri Tanzania mwaka kesho.

September 10, 2017

https://www.duolingo.com/TsitsiMaba1

Jambo Rudolf .... Mimi pia ninataka kwenda huko Tanzania watu wanasema ni nchi nzuri na ina pwani nzuri

September 10, 2017

https://www.duolingo.com/rokksolidrees

Mambo vp Tsitsi? Unasoma Kiswahili wapi, nchi gani? Unasoma na DuoLingo kwa sababu ya Shule, au kufanya mazoezi peke yako? Karibu.

September 11, 2017

https://www.duolingo.com/TsitsiMaba1

Salama!! Ninasoma Kiswahili nchini Ghana. Shule yangu inaitwa SOS Hermann Gmeiner International College. Ninasoma na Duolingo kwasababu ya shule.

September 11, 2017

https://www.duolingo.com/rokksolidrees

Sawa. Katika university, unasoma nini?

September 12, 2017

https://www.duolingo.com/TsitsiMaba1

Mimi sio chuo kikuu. Mimi ni mwanafunzi wa shule ya sekondari

September 12, 2017

https://www.duolingo.com/rokksolidrees

Haha pole sana, nilifikiri ilikuwa university kwa sababu inaitwa International College!

September 13, 2017

https://www.duolingo.com/TsitsiMaba1

Ndiyo watu wengi wanafikiri hivyo. Ninadhani shule yangu ni bora katika Afrika magharibi

September 14, 2017

https://www.duolingo.com/Isobel137410

jambo!!!

September 11, 2017

https://www.duolingo.com/TsitsiMaba1

Salama!!!

September 11, 2017

Related Discussions

Learn Swahili in just 5 minutes a day. For free.