1. Forum
  2. >
  3. Topic: Swahili
  4. >
  5. "Kondakta anahitaji pesa"

"Kondakta anahitaji pesa"

Translation:A conductor needs money

September 14, 2017

5 Comments


https://www.duolingo.com/profile/SimonandNe

A cultural note: The guy on the bus who collects fares and perhaps calls out stops is the conductor. If you're having trouble getting his (or occasionally her) attention, try calling out, "Konda!" Things are so automated in many cities, there may not be an equivalent in some places.


https://www.duolingo.com/profile/Renata725212

Kondakta hahitaji pesa. Kondakta anataka pesa =D


https://www.duolingo.com/profile/AGreatUserName

Ninakubali.

Katika maana kamili, hakuna kuhitaji. Watu hawahitaji kitu chochote. Kwa mfano: hatuhitaji maji. Ndiyo, tunahitaji maji ili tusife, lakini hatuhitaji kutokufa.


https://www.duolingo.com/profile/Renata725212

Kifo si wazo bora kwa sababu tutahitaji kuendelea kujifunza kiswahili katika maisha ya pili. =D

Learn Swahili in just 5 minutes a day. For free.