Pia unaweza sema lile shati linavutia ama lile shati ni nzuri au linapendeza. Mbona haikubali jibu langu?
Lile shati = that shirt
is "shati hilo" possible here?