- Forum >
- Topic: Swahili >
- "Uzi na sindano"
"Uzi na sindano"
Translation:The cooperation
December 15, 2017
3 Comments
"Uzushi siwaelezi,
kwa haya yangu maneno
Zana sindano na uzi,
hukamilisha mshono
Kushona nguo huwezi,
'kiwa pekee sindano
Tuziunganishe nguvu,
kama sindano na uzi."
https://www.facebook.com/Uvccm-Kiteto-337229483507301/
Thread and needle, a metaphor (sitiari) for cooperation.