"Mchungaji yupo madhabahuni"
Translation:The pastor is at the altar
January 10, 2018
4 CommentsThis discussion is locked.
This discussion is locked.
Kama hujawahi kwenda kwenye kilabu cha mashoga, unadata vitu vingi vyenye kustaajabisha. Watu hucheza, hunywa na huimba wakiwa wanapaza sauti. Wote hukaribishwa kwenye ukaramu wa upendo. Pia napenda sana wenzetu wanaovutiwa na watu wa jinsia tofauti na natumai watanipokea baa yao ya michezo siku moja. Lady Gaga awabarikini sana.
Ukiweza kuhubiri, basi mimi pia. Kama unavyoona, hapa si mahali pa kuhubiri. Hapa ni mahali pa kujifunza Kiswahili.