"Malaria ni mbaya"

Translation:Malaria is bad

June 8, 2018

3 Comments


https://www.duolingo.com/YoungGreg1

Mama wa mpenzi wangu alinisema ikiwa unamnywa Guinness itasaidia malaria.

June 8, 2018

https://www.duolingo.com/AGreatUserName

Sijui kama hiyo ni kweli, lakini labda itasaidia ukinywa Baileys kutoka katika kiatu :-P

June 8, 2018

https://www.duolingo.com/machieng

:D umedanganywa. Ulevi ni mbovu

June 9, 2018
Learn Swahili in just 5 minutes a day. For free.