"I like the blue color"

Translation:Ninapenda rangi ya bluu

June 16, 2018

3 Comments


https://www.duolingo.com/CarolineNd2

Samawati ni neno sahihi kuliko bluu

June 16, 2018

https://www.duolingo.com/AGreatUserName

Maneno yote mawili ni sahihi. Samawati linatoka Kiarabu. Buluu linatoka Kiingereza.

June 16, 2018

https://www.duolingo.com/machieng

'samawati' na 'buluu' ni visawe

June 17, 2018
Learn Swahili in just 5 minutes a day. For free.