https://www.duolingo.com/favor2005

shairi

shairi yangu ni ya kila mtu. kila mtu anaeza isoma. napenda kiswahili. niliisoma tangu nikiwa mdogo. walimu walinifundisha shuleni. niliisoma kwasababu nilikuwa naishi kenya. lakini kuandika kiswahili ni ngumu.

July 14, 2018

1 Comment


https://www.duolingo.com/favor2005

plz correct me if i have made any mistakes. im not good at writing.

July 14, 2018
Learn Swahili in just 5 minutes a day. For free.