"We saw lions and elephants too"
Translation:Tuliona simba na tembo vilevile
January 22, 2019
6 CommentsThis discussion is locked.
This discussion is locked.
Hili ni somo ambalo limenivutia mno . Yaani ni muhimu sana kujua namna ya kutunga sentensi sahihi . Corrections are welcome. Shauri langu kwenu wanafunzi wapya; jaribuni kuuliza maswali yenu katika lugha ya kiswahili kwa ajili ya kuboresha ujuzi wa kuuliza maswali hata kama si sahihi .Hey,I have not learned these words on Duo Though,asanteni sana wanafunzi wapendwa