https://www.duolingo.com/ECMO16

Anyone want to practice here?

Hamjambo! The rules of this thread are: No offensive comments (be nice!) and only speak Swahili!

Habari yako leo?

July 8, 2019

9 Comments


https://www.duolingo.com/InfinitySk8

Poa. Jina langu ni Infinite. Utani :)

July 8, 2019

https://www.duolingo.com/ECMO16

Hujambo! Jina langu ni ECMO16. Kwa nini unajifunza Kiswahili?

July 9, 2019

https://www.duolingo.com/InfinitySk8

Mimi nimepata baadhi ya marafiki katika Tanzania ambao kusema hivyo nilitaka kujifunza.

July 9, 2019

https://www.duolingo.com/ECMO16

Hiyo ni ya kuvutia sana! Kwa bahati mimi sijui wasemaji wa asili yoyote

July 9, 2019

https://www.duolingo.com/Zentapon

Jina langu ni Zentapon. Nimejifunza Kiswahili kwa miezi saba. Lakini hakuna maeneo mengi kwa mzungumzo.

July 8, 2019

https://www.duolingo.com/ECMO16

Hujambo! Nimejifunza Kiswahili kwa miezi tatu. Nakubali! Kiswahili dio kawaida katika nchi zinazozungumza kiingereza.

July 9, 2019

https://www.duolingo.com/mallaofthenorth

Nzuri kabisa! Ninahitaji kufanya mazoezi kiswahili.

July 8, 2019

https://www.duolingo.com/ECMO16

Mimi pia! Umetoka wapi?

July 9, 2019

https://www.duolingo.com/Amber459095

Jioni njema. Jina langu ni Amber. Umeshindaje?

(I just started learning the language ;)

July 12, 2019, 8:39 PM
Learn Swahili in just 5 minutes a day. For free.