https://www.duolingo.com/profile/lvbesien

Noun Class Flash Cards!

Hi everyone, habari zenu?

Nilitaka kufanya mazoezi na ngeli zote, kwa hivyo niliandika "Flash Cards" hizi kwa Anki. Ilinisaidia kuchanganya ngeli zote pamoja.

Ikikuonekania vizuri, unaweza kuzipata hapa: https://ankiweb.net/shared/info/27505232

(( Flash cards for noun classes 1-11 in link above! Feedback welcome :D )

September 2, 2019

0 Comments

Learn Swahili in just 5 minutes a day. For free.