1. Forum
  2. >
  3. Topic: Swahili
  4. >
  5. "Chemicals are not good on th…

"Chemicals are not good on the farm"

Translation:Kemikali si nzuri shambani

November 28, 2019

3 Comments


https://www.duolingo.com/profile/AGreatUserName

Maji ni kemikali. Udongo, mimea, hewa na minyoo ni michanganyiko ya kemikali mbalimbali. Lazima pawe na kemikali shambani. Pasingekuwa na kemikali shambani, hapangekuwa na mata. Shamba lingekuwa utupu tu. Je, shamba lililo utupu tu lingekuwa zuri?


https://www.duolingo.com/profile/StevePepper_Oslo

Very true.
Pedant 🙂


https://www.duolingo.com/profile/Ernst557459

Maji ni kemikali. Yep, dihydrogen monoxide (DHMO) has all kinds of adverse effects: https://www.dhmo.org/facts.html

Learn Swahili in just 5 minutes a day. For free.